News

TAARIFA KWA UMMA. (CHW)

Taasisi ya Benjamin Mkapa inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa, wamejitokeza watu wasio waaminifu ambao wamekuwa wakiwarubuni wataalamu wa huduma za Afya ngazi ya Jamii kuwa, wao ni wawakilishi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa na hivyo wanasimamia mchakato wa ajira wa Wahudumu wa afya ngazi ya Jamii. Watu hao wamekuwa wakitoa matangazo juu ya kazi hizo ambazo si za kweli, na pia kuwataka watu wenye sifa kuomba kazi kupitia fomu yenye nembo ya Taasisi ya Benjamin William Mkapa waliyoitengeneza.

Kupata taarifa kamili bonyeza hapa Taarifa kwa umma

Leave a Reply

Facebook

Twitter