TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin Mkapa pamoja kwa kupitia mradi wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, Malaria na HIV/AIDS (GFATM) na Mradi wa Mkapa Fellows Program Awamu ya Tatu, inapenda kuwataarifu waombaji waliomba nafasi mbalimbali za kazi kuanzia tarehe 22 Julai, 2019 hadi tarehe 05 Agosti, 2019 kupitia OR – TAMISEMI kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo wanatakiwa kuripoti kazini.
BONYEZA HAPA KUPATA TANGAZO KAMILI